Monday, September 17, 2012

Gomesa Tv

Mtoto wa Stive Nyerere, Waiton azikwa

 Mtoto wa Mwingizaji Nguli wa filamu nchini Stive Nyerere ambaye alizaliwa siku tatu zilizopita Waiton Stive Mangele ambaye ni mtoto wa Stive Mangele 'Stive Nyerere' jana alifariki dunia na kuzikwa katika makabuli ya Kinondoni Jijini Dar es salaam. Mtoto huyo ambaye aliishi kwa takribani siku tatu, alifariki asubuhi huku ikisadikiwa kwamba alishikwa na kwikwi ghafla na kusababisha kifo chake. Aidha msomamisa wa marehemu huyo alisema kwamba, siku mtoto huyo alipokuwa akizaliwa, ilibidi ufanyike upelesheni ili kuokoa maisha ya mama yake. Aidha Stive Nyerere mwenyewe anasema wakati msiba huo unatokea yeye alikuwa Dodoma kwenye Shangwe za Serengeti Fiesta.  

(Mr Kupa akiwa na mtoto wa kwanza wa Stive Nyerere Alex Stive)
Hata hivyo mtotohuyo alipata bahatikubwa ya kuzikwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii wakubwa, na watu maarufu kamaRidhiwan Kikwete. na watu wengine na kusababisha ni mtoto ambaye mdogo wa siku tatu lakini kuzikwa kama vile mtu mkubwa, ambaye alikuwa na jina lakini hiyo yote inatokana a ushirikiano wa baba yake Stive Nyerere.
Aunt Ezekiel akiwa na Shilole

Batuli,akiaga maiti

Wasanii wa Bongo Movie wakiweka shada la maua kwenye kabuli la Waiton,

Johari akiimba nyimbo za makabulini (Angali picha zaidi za watu walioudhulia)
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi