Wednesday, September 12, 2012

Gomesa Tv

DARTY GAME filamu ya kwanza kutumia vifaa vya anga

 Katika kuonyesha filamu za Tanzania zinakuwa katika kiwango kingine kabisa, kampuni ya TUESDAY FILM PRODUCTION na wasambazaji wa filamu nchini TUESDAY FILM DISTRUBUTORS, hivi sasa wa wanameamua kufanya filamu kama kazi kwa kuleta vifaa vya kisasa na venye uwezo wa aina yake. Vifaa hivyo vimeanzia katika filamu ya DIRTY GAME, ambavyo  vimefungwa katika ndege sehemu tano tofauto tofauti ili kuweza kupata picha nzuri za ndani na nje ya ndege.
(Mtaalamu kutoka India akifunga vifaa katika ndege)
 Tumezoea kuona filamu za nje, na kujionea kama maajabu lakini hivi sasa vifaa vimeshafika kwetu, hali inayoonyesha filamu zinakuwa. Filamu hii pia imechukuwa ghalama kubwa sana, huku ikiwa picha nzuri
zikichukuliwa kutoka ........ (Soma zaidi Bonyeza Read More)
bahalini na nchi kavu. DARTY GAME, ni moja ya filamu ambayo ujio wake ni mkali kuliko hata watu walivyotegemea, kwakuwa ilitumia zaidi ya kamera kumi katika kupata kila tukiolililokuwa likitokea katika filamu hiyo. Hebu angalia vifaa ambavyo vilitumika katika uchukuaji wa filamu hiyo


Miongoni mwa kamera za kisasa kabisa kufika hapa nchini

Baadhi ya wachukua picha Onesmo na Mukhsin wakifanya "setting" za kamera Tano za chini zilizo piga picha ya ndege kabla,baada na ilipo tua uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Ndege iliyotumika kwa kazi nzima

Hapa wakijadili juu ya kazi nzima. ingia; http://www.tuesdayfilmproduction.blogspot.com/

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi