Thursday, September 27, 2012

Gomesa Tv

Chidi Benzi ajituliza kwa Sintah

Mwigizaji wa filamu nchini Sintah, ameamua kujikita zaidi katika suala zima la Umeneja kwa kumchukuwa mwanamuziki Chidi Benzi na kummeneji katika kazi zake zote za kimuziki. Sintah alisema mwanamuziki huyo (Soma zaidi)
aliamua kufanya kazi naye kutoka na uzoefu wake katika kazi za wasanii, na jinsi anavyoweza kukamilisha kile ambacho anakipanga. Hata hivyo Sintah amesema kila jambo ambalo atakuwa akilifanya mwanamuziki huyo lazima yeye atakuwa akilijua na kuliunga mkono na kulifanya lisonge mbele zaidi. Pia alizidi kusema kwamba juma pili hii, Chidi Benzi atakuwa na show kubwa Maisha Club, huku akimfanyia mikakati ya kufanya collabo na Cindy wa Blue 3 ya Uganda.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi