Thursday, September 27, 2012

Gomesa Tv

Chazi Baba ajibu tuhuma za Lulu

Nyota wa muziki wa Dansi kutoa Mashujaa Bendi, Chazi Baba ameongea na Bongo Unit na kudai kwamba hausiki, wala hajaenda kujitambulisha kwenye familia ya mzee Michael....... (Soma zaidi)
ambaye mwanaye Elizaberth Michael anayejulikana sana kwa jina la Lulu ili kutaka kumuoa. Chazi  anasema maneno hayo kuna mtu kayapeleka huko ambaye kwake anamuona kama mbea, lakini ukweli anasema hajajitambulisha kwa wazazi wa mwigizaji huyo ambaye sasa hivi yupo Lumande kutokana na tuhuma zinazomkabiri kusababisha kifo cha mwigizaji gwiji Steven Kanumba.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi