Friday, September 14, 2012

Gomesa Tv

Ay atembelea ofisi za Gazeti la HABARI LEO

 Mwanamuziki Pekee ambaye aliweza kujitangaza nje ya nchi ya Tanzania na kushirikiana na wanamuziki wakali kutoka nje Ambwene Yesaya maarufu kama Ay, jana alitembelea katika kampuni ya Tanzania Standard Newspaper (TSN) linalotengeneza magazeti ya HABARI LEO, HABARI LEO JUMAPILI na DAILY NEWS, na kufanyiwa mahojiana ya dakika kadhaa na mwandishi mkongwe wa gazeti hilo Beda Msimbe. Mwanamuziki huyo kwa hivi sasa anawania Tuzo tatu,  katika Tuzo za Channel O Music Video Award 2012 akiwa kwenye sehemu 3,   Most Gifted Video of the Year. AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your Body  Most Gifted East African video of the Year. AY ft Sauti Soul: I Don't Want to Be Alone Most gifted male video of the year. AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your Body. 

 Ay akiwa na mwandishi Beda Msimbe
 Akiwa na baadhi ya waandishi Kwa picha zaidi bonyeza Read More (Uone alivyo show Love na waandishi la GWIJI LA HABARI TANZANIAGomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi