Monday, September 24, 2012

Gomesa Tv

Audition ya Diamond balaa tupu

 Nyota wa muziki sa kizazi kipya ambaye kwa sasa anazidi kuumiza vichwa vya wasanii kibao kwa jinsi anavyo shine, Diamond Plutnamz, juma mosi iliyopita alikuwa akifanya Audition ya kuwatafuta Models ambao watang'ara katika video yake mpya ambayobado hajaitangaza. Mwanamuziki huyo amesema kufanya hivyo ni kuwapa nafasi vijana wengine ili kupata ajira kuliko, kwenda kufanya video na watu wachache harafu wengine kuokoteza, kwa lengo la kujazia nafasi.
Diamond amesema video hiyo anatarajia kufanyia sehemu mbalimbali, chini ya kampuni ya upigaji picha ambayo kwa sasa pia inajishughulisha na utengeneza wa video ya I View Media. Pia katika mchakato huo ambao watu mbalimbali walipatikana ambapo wanawake walipatikana 18 na wanaume 14, huku idadi kamili ambayo Diamond alihitaji kuwa ni wanaume kumi na wanawake kumi.
 Hata hivyo msemaji na mtafutaji wa Models hao Rakii, amesema mchakato zaidi utaendelea huku akisaidiana na Martine Kadinda, pamoja na Ally Rehmtullah
 Rakii wa I-View media (Soma zaidi ili kupata uhondo uliokuwa huko)Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi