Thursday, August 23, 2012

Gomesa Tv

Watu waanza kugombea jina la Mr Ebbo

Mwanamuziki Sudi Bayo 'Mjukuu wa mr.Ebbo' anasema, mimi  ndiye mrithi wa mr.Ebbo ila na shangaa kunyanganywa jina hilo na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yangu toka zamani anaitwa tash nilimpokea toka arusha na kuwa nae ktk studio za Difatarity na baada ya kusaidiana mawazo kuandika naye myimbo ya chapia ila nashangaa hiyo nyimbo ilivotoka Tash akaanza dharau..............nakuanza kunipgia simu kunitukana baada ya kuhama studio za Difarity nakuhamia Shine records ndipo yalipoanza majungu, fitina na mengine mengi. 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi