Wednesday, August 1, 2012

Gomesa Tv

Mzimu uliompeleka Lulu rumande, wamfanya Diana kukimbilia kuokoka

Wakati mwagizaji nguli wa filamu  nchini, Elizaberth Michael kwa jina la kisanii Lulu akisota  rumande, kwa tuhuma za kumuua mwigizaji mwinzie Steven Kanumba,  mwigizaji mwenzake Diana Kimaro,ambaye aliwahi kuigiza  naye katika filamu  ya Family Disaster akiwa kama dada yake wa karibu, na baadaye kufa  kutokana na tabia ya kutembea na wanaume ovyo,  ameamua kuokoka baada ya kuona hata yeye huenda akaingia matatizoni muda wowote. Mwigizaji huyo ambaye aliokoka katika  kanisa la Chuo Cha  Manabii lililopo Ubungo Maziwa July 29 mwaka huu, alisema ameamua kuokoka kwa sababu anasumbuliwa na  roho chafu ambazo  zilikuwa zikimwandama na kumyima raha. Aidha alisema  msanii huyo ambaye aliingia kanisani hapo akiwa amevaa suluari nyepesi na T sheti ,amejifikiria sana na kuona anazidi kutanga tanga na ulimwengu, huku akiwa haudhulii katika nyumba yoyote ya ibada hali iliyomfanya aishi kwa mashaka. Hivi sasa amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake  na kuwa muumini wa kanisa hilo, ili kuepukana na mapepo wachafu

Diana akiwa na Lulu katika filamu hiyo,na picha zingine akiwa na Ray

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi