Thursday, August 30, 2012

Gomesa Tv

Je!! Unataka kuigiza na Jb? Nafasi ndiyo hii.

 
Nyota wa filamu nchini Jacob Stephan ‘Jb’ amewataka wadau wa filamu kuchangamkia ofa maalum aliyotoa kwa wasanii chipukizi anayetaka kufanya kazi naye.
Jb slisema hiyo ni moja wa wajibu wake kuonyesha kampuni ya Jerusalem inainua vipaji vipya, huku akitaka wasanii wenye sifa kujitokeza. Ila Mwenyewe anasema hivi..

Jaco Stephen; HAMJAMBO WAPENDWA WANGU? ASANTENI SANA KWA MAONI YENU KWA OMBI LANGU LILILOPITA KWAMBA NIMSHIRIKISHE MSANII GANI WA KIKE KTK FILM YANGU INAYOFUATA.
SASA BASI NIMEAMUA KUMSHIRIKISHA MSANII CHIPUKIZI YEYOTE ATAKAEKUA NA VIGEZO VIFUATAVYO:-
1.AWE NA ELIMU KUANZIA KIDATO CHA SITA NA KUENDELEA
2.AWE NA UREFU NA MUONEKANO KAMA IRENE UWOYA KWA UMBO
3.AWE MWEUSI AU MWEUPE HAINA TATIZO
4.HATA KAMA HAJAWAHI KUIGIZA TUTAMSAIDIA
TUTUMIE PICHA ZAKO KUPITIA Email: jbthebigsimba@yahoo.com
MWISHO WA KUPOKEA EMAIL ZOTE NI JUMAMOSI TAREHE 01/09/2012
WATAKAOCHAGULIWA TU NDIO WATAJIBIWA.USISAHAU KUWEKA NAMBA YA SIMU.
ASANTENI SANA.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi