filamu bango

filamu bango

Monday, June 11, 2012

Janeth Joseph aja kwa kasi

MSANII chipukizi Janeth  Joseph ‘Jane’ amepania kufanya makubwa katika filamu ya The Power itakayomkutanisha na Abdul Naseeb na King Majuto.   Akizungumza na Bongo Unit, alisema ataitumia vizuri nafasi hiyo kuhakikisha anashika vizuri katika tasnia ya filamu. Jane alisema filamu hiyo kwake ndiyo itakuwa ya kwanza, katika kapuni ya The Nyerere Power inayomilikiwa na Stive Nyerere. “Nimeahidiwa nitafanya vilamu nyingi, endapo nikifanya vizuri katika filamu hii” alisema.  Kampuni ya The Nyerere Power, inatarajia kumchezesha msanii huyo pia kwenye filamu ya Goodbye  Mr Predent na Ilove You Zanzibar.


Janeth Joseph