Saturday, April 14, 2012

Gomesa Tv

FREEMASONRY na wasanii wa Bongo

Minong'ono ilianza tu, pindi ilipowekwa picha hii katika maombolezo ya kifo cha nguli wa filamu nchini R.I.P Steven Kanumba, kutokana na alama hiyo kuhusishwa moja kwa moja na alama za mashetani maarufu kama Freemasonry chini ya kiongozi wao Lucefer. Watu walijadilikwamba hakukuwa na picha nyingine nzuri zaidi ya hii, au hiyondiyo waliipenda sana. Hata hivyo baadhi ya wasanii na wadau wengine walisema hiyo ni picha kama picha nyingine,ingawa ilikuwa na maana zaidi na huenda yule aliyevaa asijue maana yake.  Ndipolikaja neno kwamba, kama ndiyo hivyo basi wasanii wengi watakuwa wakitumiwa na mashetani, bila ya wao kujijua na hatmaye vifo vyao vikawa kamandoto.....
Alama YA Freemasonry, pia ndiyoinayosadikiwa kuwa kwenye T-shet ya R.I.P KanumbaAlama ya Freemasonry ambayondiyoiliyopinduliwa kwenye shatila Dr Cheni mwingizaji wa muda mrefu kwenye filamu


Alama ya mafuvu ambayoyanaamudu,na ndiye aliyekuwepo kwenye picha ya msanii Chopa wa Mchopanga, nguo zote hizo walivaa siku ya msiba wa kanumba. Sasa wadau wanauliza,wanajua au ndiyo wanachama kama hawajui nani anawatumia?

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :